Naomba muongozo nataka kwenda China

5m haitoshi...gharama ya kwenda na kurudi ukijibana sana si chini ya 3m
 
Usifanye mambo kwa haraka...jenga uhusiano na wale waendao huko...!!agizia mzigo....taratibu mtaji ukikua utaanza kwenda wew...!!
 
Pia kuna group la whatsap unalipia 5000, Dada atakuunga baada ya hapo unaagiza mzigo unaotaka kukufikia kwa meli kwa mda wa mwezi mmoja hivi, yeye mda mwingi yupo huko
 
Panda ndege nenda nunua jeans moja rudi elako itakuwa imeisha lah tafuta kampuni mtandaoni watakutumia.
 
@kipilipili
Apitie huu uzi kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…