Naomba muongozo nataka kwenda China

Naomba muongozo nataka kwenda China

5m haitoshi...gharama ya kwenda na kurudi ukijibana sana si chini ya 3m
 
Usifanye mambo kwa haraka...jenga uhusiano na wale waendao huko...!!agizia mzigo....taratibu mtaji ukikua utaanza kwenda wew...!!
 
Panda ndege nenda nunua jeans moja rudi elako itakuwa imeisha lah tafuta kampuni mtandaoni watakutumia.
 
@kipilipili
Apitie huu uzi kwanza.
 
Back
Top Bottom