Naomba muongozo tafadhali

Naomba muongozo tafadhali

Usiwaze sana mwenzako alikuwa anatega mimba sio kukuambukiza umeme. Si unajua hela ya matumizi ni mtaji siku hizi.

Ila jichunge Bro.
 
Kuna demu mmoja huwa namtumia kwa ajili ya kujiridhisha coz nina mke yuko mbali na mkoa ninaoishi sasa leo genye zimenishika haswa nikaona nimtafute akaniambia njoo lkn simuamin bc kufika tu tukapiga story tukaanza yale mambo yetu mm huwa natumia sana kinga bc akanivalisha ile nazamisha rungu nikahisi ndomu imepasuka ikabid nitoe fasta nikavaa ingine nikaendelea na show dah niliendelea kwasababu nina ugumu nilivyomwaga sikuwa tena na hamu vp hapo ndugu zangu nahitaji kumeza PrEP au nikaushe lkn sikuona hata blood au naweza ambukizwa kwa majimaji nina stress hatari.
Anza tu kutumia TDF+3TC+DTG pia hakikisha upo kwenye CTC 2 database
 
Sasa hapo unachohaofia ni nini, watu wa dizain hii ndio wanaokufaga na huo ugonjwa unafikil ngoma Kama kikohozi
 
Kuna demu mmoja huwa namtumia kwa ajili ya kujiridhisha coz nina mke yuko mbali na mkoa ninaoishi sasa leo genye zimenishika haswa nikaona nimtafute akaniambia njoo lkn simuamin bc kufika tu tukapiga story tukaanza yale mambo yetu mm huwa natumia sana kinga bc akanivalisha ile nazamisha rungu nikahisi ndomu imepasuka ikabid nitoe fasta nikavaa ingine nikaendelea na show dah niliendelea kwasababu nina ugumu nilivyomwaga sikuwa tena na hamu vp hapo ndugu zangu nahitaji kumeza PrEP au nikaushe lkn sikuona hata blood au naweza ambukizwa kwa majimaji nina stress hatari.
kua na aman bn ukimwi si rahisi Ivo bob
 
Acha wasiwas mkuu Hakuna kitu Kama hicho fanya hima umtoe mkeo mkoani Kuna mabodabodawengi San na Ni npostive wengi pia Ni hatari kwako mtoe tu vingine unaweza kukosa mtaani mke akakuletea
kina Alex hawajamfikia aisee
 
Maarifa gn ndugu wakati kinga nilitumia bahati mbaya tu halafu huwez amini mm huwa ni mshauri sana kwa vijana wenzangu ambao wanacheza rafu huwa nawaambia tumieni kinga bc tu leo imenitokea nikitoka kwenye hili janga sirudii tena mm jaman
Pole sana.
 
Back
Top Bottom