Bob Kawari
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 1,231
- 1,621
Heshima kwenu wadau, ningependa kupata muongozo wa hii biashara ya bookshop kwa wenye uelewa nayo niweze kujua mambo kadhaa. Ni wapi naweza pata mzigo kwa bei poa. Ni vitabu gani hasa natakiwa kuwa navyo.Napia nahitaji kujua kuwa changamoto zake ni zipi hasa.