Naomba muongozo wa biashara ya mifuko

Naomba muongozo wa biashara ya mifuko

notyfeky

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
713
Reaction score
730
Habari nduguzangu.
Kuna hii mifuko inayotumika kubebea mahitaji mbalimbali ya nyumbani, ambayo rejareja huuzwa 200, 300 na 500.
Bei ya jumla inauzwaje?
Na je inakaa mingapi?
Inapatikana wapi kwa Dar es Salaam.
Nataka kuagiza nizungushe kwenye manuka kwa bei ya jumla jumla.
 
Tusubiri anaejua bei mkuu
 
Back
Top Bottom