Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Asante maana hapa nilipo nishavua shati.
Naandaa makaburasha ya kujibu swali lako.Na wewe nakuomba umsaidie Sam kupata majibu.
wewe mdada sijui mkaka kazi kwelikweli
hivi mtu akiwa na mawazo tofauti na upinzani tu basi keshakuwa fisadi?
SASA ILI WAFANYE KWELI SI NI MPAKA WAPEWE NCHI NA WEWE KIBUNANGO,CHADEMA porojo nyingi na hakuna mkakati wowote wa utekelezaji.
Kila wakati ikija hoja hapa ya sera za CHADEMA utaona viongozi wao wanakuja kutoa thanks tu na hawajibu maswali ambayo wanapaswa kuyajibu.Badala yake wanakuja mashabiki kurefer watu kwa Ilani, Ilani gani unayorefer wana JF wakati viongozi wa CHADEMA wamekaririwa humu wakisema kuwa plan ya kuanzisha majimbo ni plan 0, wanatarajia mijadala izae plan 1 halafu sera kamili itoke baadae! sasa Ilani gani mnayowaambia watu wakasome???
Huu mjadala ni mojawapo tu ya mifano ya jinsi CHADEMA walivyo na porojo.
Nimeandika hapa mara nyingi na naendelea kurudia kuwa mchango wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA katika kupiga vita ufisadi nchini unastahili kuheshimiwa na kupongezwa, ila CHADEMA kama chama hakiko tayari kuongoza taifa na sera yake kuu ya majimbo ni ndoto ya alinacha.
hivi unataka kuniambia kwa sasa hivi kuna mtu ambaye hana mawazo ya kimapinduzi?mimi ninaamini maana ya mapinduzi ni kuwa mpinzani wa ccm kwa kila jambo maana inanuka na imeshindwa kuleta matumaini yoyote kwa watanzania,Raza kasema ccm kwa sasa hivi ni sawa na mtu anayejaribu kuficha mait ndani asijue baada ya muda harufu itamtoa nishai
nipo radhi kwenda nccr mageuzi kwa mbatia kuliko chadema kwa mbowe !!
karibu sana upinzani kada... MUNGU anapenda watetezi wa wanyonge natumai nawe utaona hili. Karibu tuunganishe nguvu, nikileta za mzee wa kiraracha (TLP) na wewe ukaleta za Mbatia sioni cha kuzuia hiyo nguvu.
aliyekwambia mimi sikuwa upinzani nani ?? nikikwambia je nilikuwepo huko kabla yako utakubali ?? KadaMpinzani is da name baby !
nisichotaka ni huo upumbavu wa kusema kila kitu ni siasa hata pale pasipostahili ! mama mjamzito kafariki wewe unadandia na kusema ccm, wtf ? then nikikwambia ulichosema ni nonsense utasema mie fisadi ? by the way i like that name....
mhh.. kama mama mjazito akifariki kwa vile pesa zilizotakiwa kununua dawa zimewekwa kwenye benki ya uswiswi au zimetumika kulipa richmonduli, itpl, nk je nani alaumiwe, CUF? Kuna chama kinaongoza Tanzania na chama hicho ni ccm kwa sasa.
richmond pesa hizo zimetoka katika wizara ya nishati na madini, wizara ya nishati na madini ina connection gani na madawa/hospitali ??
Pesa zuile hazikutengwa kwa ajili ya dawa, zilitengwa kwa kitu kilichofanyiwa na hicho kitu ni richmond, au ulisikia mtu kafa kwa sababu alikosa umeme au madini (richmond+wizara ya nishati na madini connection)? - - - -
anyway waliofanya ni mawaziri na hawakutumwa na ccm, walifanya wao kama wao na akili zao, hata kama lipumba angekuwa rais richmond still ingetokea iwapo mawaziri wangekuwa wale wale, so hiyo sio kuhusu ccm kama unavyodai !
akikosea mbowe wenu tuseme chadema wote hamfai ?? if so, basi chadema wote hamfai maana mbowe wenu ananuka sana kwa kashfa !
acha siasa mdebwedo hapa, fikiria kwanza !
Pesa iliyotumika kwenye wizara ya nishati bila ulazima ingeweza kutumika kwenye wizara ya afya.
Nimesikia maelfu ya watoto na wajawazito waliokufa kwa kukosa dawa hospitali (dawa ambayo thamani yake ni chini ya dola moja).
hawa mawaziri ni viongozi wa ccm - kumbuka kuwa chama ni watu na sera zao na sio majengo na bendera.
Ukileta facts za makosa ya Mbowe (na sio udaku kama ambao unawekwa hapa day in day out) basi una kila sababu ya kusema kuwa chadema hawafai kwa kuwa na kiongozi ambaye hafai.
Ukiamua kutumia names haijengi hoja yako zaidi ya kile ambacho ungesema bila names!
Sam nadhani utakuwa ushagundua kuwa mwongozo wa CHADEMA is no where to be found. Nakushauri uchangamkie vyama vingine tu.
Sam nadhani utakuwa ushagundua kuwa mwongozo wa CHADEMA is no where to be found. Nakushauri uchangamkie vyama vingine tu.
mhh, wana chadema na mashabiki wao wamekimbia kujificha. naona ukumbi wote wana ccm. hoja hakuna na wakibanwa wanakimbia.
hiyo ni kweli mkuu na ndio maana nikasema maadamu tushaweka point na kueleweka kwamba chadema sio chama bali ni genge la wanaopeana madaraka kwa kurithishana, basi tuangalieni vyama vingine. Chadema bai bai !!