Naomba muongozo wa kumrudisha mke wangu shule

Nenda nae uchi hapo mlimana na form two yake ndyo atachukuliwa
 
Kusomesha mke sijui,nayojua ni Mchumba hasomeshwi
 
RESEARCH SIO LAZIMA UENDE CHUO KIKUU. KWA MAJIBU YALIYOTOLEWA HAPA RAIS MAGUFULI YUKO SAWA KUSEMA WALIOJIFUNGUA NA KUPOTEZA MUDA WA MASOMO WAENDE VETA.
 
Jambo kama lili lakujadili na mkeo unaleta kwa walimwengu?
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 

Mpeleke akadungwe nyingine....mtu ambaye hakushiba jikoni hawezi kushibia sebuleni
 
kuna hii mitihani ya Cambridge O level and A level,unasoma online ila exam centre unatafuta mwenyewe,sijui hapo Dar km kuna kituo ,au kufanya kule british counsil.....????

hili swala Mama Ndalichako alivalie njuga,nchi nyingi zinataka wananchi wake wasome,sio kwa vile haukusoma kipindi cha nyuma,wewe ndio basi tena.
 
Elimu ya tanzania ina tatizo gani? Mtu una degree mbili hujui namna ya kumuendeleza hawara yako? Au degree hewa? Rudi shule kwanza ndio hawara afuate
 
Kuna chuo kinaanzishwa soon nitakueleza umpeleke usajili wake ukikamilika mwezi huu
 
kwa umri huo nashauri mpeleke VETA apate ujuzi wa fani hasa elimu ya ufundi aongeze kipato nyumbani .Au alee tu watoto nyumbani na kuhudumia familia ukiwa umemfungulia duka/kibanda nyumbani maana siyo lazima wote muwe wasomi .
 

Muombee Chuo Mlimani akasome Degree na hiyo "form two" yake.

 
Acha utani kwa serikali hii bora umtungulie biashara wewe unataka ukamsomeshe mam mzee
Ulikuwa wapi kipindi chote unavuta shuka uzeeeni
 
Tulishasema mke hasomeshwi,usije ukarudi hapa na macho mekundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…