Naomba muongozo wa namna ya kujibu swali hili wakati wa uendeshaji wa rufaa za watumishi wa umma

Myhope

Senior Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
154
Reaction score
67
Wakati wa uendeshaji wa rufaa za watumishi wa umma.

Je, Ushahidi wa kuambiwa (hearsay) unakubalika huko kwenye Tume ya utumishi wa umma?
 
Mkuu kanuni za ushahid zinakubali hearsay evidence
Lakini hearsay evidence lazima kuwe na hoja ya kujazia (thibitisha) hayo uliyo sikia
Ukiweza soma

Sihobe seni vs Republic
 
Kesi uliyoitaja haiendani na swali na mleta hoja [Irrelevant].

Hearsay lazima iambatane na/au kukaziwa au iendane na ushahidi/hoja halisi.
 
Tafuta hii case ambayo mahakama ili toa maelekezo ya kwamba "hearsay evidence evidence must be corroborated"
Kama nilivyo mwelekeza mtoa mada kwenye thread yake hapo juu
 
Soma tena na elewa hitaji la mleta hoja. Ni hivi;

1. Rufaa

2. ZA UTUMISHI WA UMMA

3. Ushahidi wa kuambiwa (hearsay)

4. Unakubalika Tume ya Utumishi wa Umma

Halafu wewe unakuja na kesi lako la Jinai na bla! bla!

NARUDIA KUKWAMBIA KESI LAKO HALIENDANI NA HALIHUSIKI HAPO. VILEVILE, KWENYE MASHAURI YA WATUMISHI HATUWEKI WALA HAWAONGOZWI NA KESI ZA MAHAKAMANI KAMA AUTHORITY.

Wakati mwingine, toa jibu la mleta hoja likiwa kamili bila kutia ugumu [sijui kasome kesi gani huko]. Kutwa kufanya wanasheria tuonekane tunafanya mambo magumu.
 
[emoji120]
 
Wakati wa uendeshaji wa rufaa za watumishi wa umma.

Je, Ushahidi wa kuambiwa (hearsay) unakubalika huko kwenye Tume ya utumishi wa umma?
Mkuu una rufaa yako hapo tume ya utumishi wa umma nini? pale pana vizee vingi vitakucheleshea mpaka ujute
 
Back
Top Bottom