Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kanuni za ushahid zinakubali hearsay evidenceWakati wa uendeshaji wa rufaa za watumishi wa umma.
Je, Ushahidi wa kuambiwa (hearsay) unakubalika huko kwenye Tume ya utumishi wa umma?
[emoji120]Mkuu kanuni za ushahid zinakubali hearsay evidence
Lakini hearsay evidence lazima kuwe na hoja ya kujazia (thibitisha) hayo uliyo sikia
Ukiweza soma
Sihobe seni vs Republic
Kesi uliyoitaja haiendani na swali na mleta hoja [Irrelevant].Mkuu kanuni za ushahid zinakubali hearsay evidence
Lakini hearsay evidence lazima kuwe na hoja ya kujazia (thibitisha) hayo uliyo sikia
Ukiweza soma
Sihobe seni vs Republic
Tafuta hii case ambayo mahakama ili toa maelekezo ya kwamba "hearsay evidence evidence must be corroborated"Kesi uliyoitaja haiendani na swali na mleta hoja [Irrelevant].
Hearsay lazima iambatane na/au kukaziwa au iendane na ushahidi/hoja halisi.
Soma tena na elewa hitaji la mleta hoja. Ni hivi;Tafuta hii case ambayo mahakama ili toa maelekezo ya kwamba "hearsay evidence evidence must be corroborated"
Kama nilivyo mwelekeza mtoa mada kwenye thread yake hapo juu
[emoji120]Soma tena na elewa hitaji la mleta hoja. Ni hivi;
1. Rufaa
2. ZA UTUMISHI WA UMMA
3. Ushahidi wa kuambiwa (hearsay)
4. Unakubalika Tume ya Utumishi wa Umma
Halafu wewe unakuja na kesi lako la Jinai na bla! bla!
NARUDIA KUKWAMBIA KESI LAKO HALIENDANI NA HALIHUSIKI HAPO. VILEVILE, KWENYE MASHAURI YA WATUMISHI HATUWEKI WALA HAWAONGOZWI NA KESI ZA MAHAKAMANI KAMA AUTHORITY.
Wakati mwingine, toa jibu la mleta hoja likiwa kamili bila kutia ugumu [sijui kasome kesi gani huko]. Kutwa kufanya wanasheria tuonekane tunafanya mambo magumu.
Mkuu una rufaa yako hapo tume ya utumishi wa umma nini? pale pana vizee vingi vitakucheleshea mpaka ujuteWakati wa uendeshaji wa rufaa za watumishi wa umma.
Je, Ushahidi wa kuambiwa (hearsay) unakubalika huko kwenye Tume ya utumishi wa umma?