Shida zote za nini wakati basi masaa 11 tuMbeya-Dar masaa 25
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kata ticket ya first au second ndio uta enjoy....Kule third wastaarabu ni wanaopandia Dar tu...vituo vya katikati huko mtu anapanda kituo A anaenda shamba kituo kinachofuata so majembe, mapanga mikungu ya ndizi, Hadi viporo vilivyochacha wanabeba...tafrani tupu
Mimi huwa naenjoy Sana Yale mahandaki ....jua linawaka lakini mkiingia kwenye handaki Giza totoroNilisafiri mwaka 2001 kwa treni ya Tazara, nilienda kwa free pass , KUSAFIRI na Treni ni raha sana, aswaa ukate ticket ya first class, tulikuwa bia na wadada wa kizambia, tuli-Enjoy ile safari kwakweli
Heshima yenu wapendwa,
Naomba msaada jmn Kwa wale walowahi kusafiri kwa tren; kwa mara ya kwanza nataka Kutumia usafiri wa tren Sasa sijui nianzie wapi niishie wapi kuanzia kwenye kukata tiketi;cjui madaraja yake; uzuri wake na changamoto zake pia ili nione kama naweza kumanage!
Safari yenyewe ni ya Mbeya-Dar!
Asanteni!!
Umemaliza mada mkuuUsafiri wa train ni usafiri ninaoupenda sana...ni usafiri wenye risk ndogo na wa uwakika ukilinganisha na bus.
Kuhusu train via TAZARA zipo za aina mbili.
1. Train ya mizigo
2. Train ya abiria
~ Train ya abiria zipo za aina mbili
1* Express train...hii ni train ya route ndefu safari yake huanzia Zambia to Dar,sifa ya train hii Ina speed,inasimama vituo muhimu tu,inamuinekano mzuri kwa ndani,inabeba mizigo kwa limit, pia nauli yake imechangamka kidogo...
Ina madaraja matatu.
First....ni kachumba chenye vitanda vinne au viwili vya kukunja na kukunjua na meza moja..ni daraja lililo karibu na sehemu ya vinywaji na chakula, system charging na feni ipo na vyoo vyake vipo vzur sana.
Ni daraja lenye Bei ya juu kuliko class zote,ukipanda daraja hili hutojutia safari yako.
Second class..ni daraja la kati kuna seat ambazo zpo comfortable (super seat) na zpo seat zengne zinafanana tu na third class,kila behewa Lina system charging moja...kila behewa Lina feni 6,vyoo vyake vipo poa.
Bei yake ya kawaida tu,kama utapanda second class kata ticket ya super seat hutojutia safari yako.
Third class...halina tofauti sana na second class. Na Bei yake ndogo kulinganisha na first na second.
2* Ordinary train....hii train huanzia mbeya to Dar,ni train ambayo huchukua muda mrefu ktk safari zake,husimama kila ktuo ata porini as long as kuna huduma maalumu inahitaji kufanyika.
Nayo Ina class tatu, first.. second..na third.
Nauli yake hupishana elfu 2 adi elfu 5 na express.
Ukipanda ordinary sikushauri ata kidogo upande third class.
ahahaha, Raha Sanaa aisee, nataka nijaribu kusafiri Tena na treni mwezi September ,Mimi huwa naenjoy Sana Yale mahandaki ....jua linawaka lakini mkiingia kwenye handaki Giza totoro
Express inatumia masaa wangapi Dar-mby?Usafiri wa train ni usafiri ninaoupenda sana...ni usafiri wenye risk ndogo na wa uwakika ukilinganisha na bus.
Kuhusu train via TAZARA zipo za aina mbili.
1. Train ya mizigo
2. Train ya abiria
~ Train ya abiria zipo za aina mbili
1* Express train...hii ni train ya route ndefu safari yake huanzia Zambia to Dar,sifa ya train hii Ina speed,inasimama vituo muhimu tu,inamuinekano mzuri kwa ndani,inabeba mizigo kwa limit, pia nauli yake imechangamka kidogo...
Ina madaraja matatu.
First....ni kachumba chenye vitanda vinne au viwili vya kukunja na kukunjua na meza moja..ni daraja lililo karibu na sehemu ya vinywaji na chakula, system charging na feni ipo na vyoo vyake vipo vzur sana.
Ni daraja lenye Bei ya juu kuliko class zote,ukipanda daraja hili hutojutia safari yako.
Second class..ni daraja la kati kuna seat ambazo zpo comfortable (super seat) na zpo seat zengne zinafanana tu na third class,kila behewa Lina system charging moja...kila behewa Lina feni 6,vyoo vyake vipo poa.
Bei yake ya kawaida tu,kama utapanda second class kata ticket ya super seat hutojutia safari yako.
Third class...halina tofauti sana na second class. Na Bei yake ndogo kulinganisha na first na second.
2* Ordinary train....hii train huanzia mbeya to Dar,ni train ambayo huchukua muda mrefu ktk safari zake,husimama kila ktuo ata porini as long as kuna huduma maalumu inahitaji kufanyika.
Nayo Ina class tatu, first.. second..na third.
Nauli yake hupishana elfu 2 adi elfu 5 na express.
Ukipanda ordinary sikushauri ata kidogo upande third class.
Masaa 14 adi 16...Express inatumia masaa wangapi Dar-mby?
[emoji28]asante sis ila umenichekesha kama mabasi ya vijijini!ubarikiwe SanaKata ticket ya first au second ndio uta enjoy....Kule third wastaarabu ni wanaopandia Dar tu...vituo vya katikati huko mtu anapanda kituo A anaenda shamba kituo kinachofuata so majembe, mapanga mikungu ya ndizi, Hadi viporo vilivyochacha wanabeba...tafrani tupu