Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,172
Karibu sana mkuu.Nisubiri hapohapo naperuzi kamusi yangu kuna neno bado sijalielewa.Limeandikwa ..."xomething"...!Habarini wapendwa,
Mm ni mwana JF mpya tangia niwe officially registered almost can take two weeks, nilikuwa kimya bila kutoa hoja au maoni yangu kwa wana JF wenzangu kwasabu nilikuwa nasoma mazingira, natumaini kupitia ninyi i'm going to learn xomething,
Naomba munipokee kwa mikono miwili..
NAOMBA KUWASILISHA.
Nimekuja na Membe vp atakufaaa?Ume kuja Na zawadi gani mkuu ili tukupokee.!!!
Axnt, ukimalz kuperuz natak kukuulzKaribu sana mkuu.Nisubiri hapohapo naperuzi kamusi yangu kuna neno bado sijalielewa.Limeandikwa ..."xomething"...!
Unatumia keyboard gani we nunda!Habarini wapendwa,
Mm ni mwana JF mpya tangia niwe officially registered almost can take two weeks, nilikuwa kimya bila kutoa hoja au maoni yangu kwa wana JF wenzangu kwasabu nilikuwa nasoma mazingira, natumaini kupitia ninyi i'm going to learn xomething,
Naomba munipokee kwa mikono miwili..
NAOMBA KUWASILISHA.
Ndicho kilichokuletaaaaa!!!Nimekuja na Membe vp atakufaaa?
Ama kweli bonge la Mgeni na zawadi ya UANDISHI WA HOVYO Sasa "Axnt" ndo Nini!?Axnt, ukimalz kuperuz natak kukuulz
Kweli mkuu Bora arudi tu alikotokaUnatumia keyboard gani we nunda!
X instead of S? Huwezi kuita typing error!!
Kama vipi rudi hukohuko ulikotoka!
Jamaa ni mswahili Kweli Kweli...Ama kweli bonge la Mgeni na zawadi ya UANDISHI WA HOVYO Sasa "Axnt" ndo Nini!?
Kwani huwa unaandika huku umeng'ata meno au unafanya ubahili wa wino?Axnt, ukimalz kuperuz natak kukuulz
Kaja na hii "xomething" sijui ndo niniUme kuja Na zawadi gani mkuu ili tukupokee.!!!
Shule zimefungwa mkuu na wengine wamemaliza utaona mengiKaribu sana mkuu.Nisubiri hapohapo naperuzi kamusi yangu kuna neno bado sijalielewa.Limeandikwa ..."xomething"...!
Habarini wapendwa,
Mm ni mwana JF mpya tangia niwe officially registered almost can take two weeks, nilikuwa kimya bila kutoa hoja au maoni yangu kwa wana JF wenzangu kwasabu nilikuwa nasoma mazingira, natumaini kupitia ninyi i'm going to learn xomething,
Naomba munipokee kwa mikono miwili..
NAOMBA KUWASILISHA.
Napendeleaga kutumia old keyborad, ila kwa hilo tu ndo ushindwe kunipokea kweli.Unatumia keyboard gani we nunda!
X instead of S? Huwezi kuita typing error!!
Kama vipi rudi hukohuko ulikotoka!
Hahahah, utaona mengi tu.Ndicho kilichokuletaaaaa!!!
Sio hovyo mkuu, nikaribishe tu.. Labda ugeni umenifanya niwe hivyo.Ama kweli bonge la Mgeni na zawadi ya UANDISHI WA HOVYO Sasa "Axnt" ndo Nini!?