Naomba muupokee ugeni

Naomba muupokee ugeni

Chimbekeha

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2018
Posts
1,193
Reaction score
2,172
Habarini wapendwa,
Mm ni mwana JF mpya tangia niwe officially registered almost can take two weeks, nilikuwa kimya bila kutoa hoja au maoni yangu kwa wana JF wenzangu kwasabu nilikuwa nasoma mazingira, natumaini kupitia ninyi i'm going to learn xomething,
Naomba munipokee kwa mikono miwili..
NAOMBA KUWASILISHA.
 
Karibu sana mkuu.Nisubiri hapohapo naperuzi kamusi yangu kuna neno bado sijalielewa.Limeandikwa ..."xomething"...!
 
Habarini wapendwa,
Mm ni mwana JF mpya tangia niwe officially registered almost can take two weeks, nilikuwa kimya bila kutoa hoja au maoni yangu kwa wana JF wenzangu kwasabu nilikuwa nasoma mazingira, natumaini kupitia ninyi i'm going to learn xomething,
Naomba munipokee kwa mikono miwili..
NAOMBA KUWASILISHA.
Unatumia keyboard gani we nunda!
X instead of S? Huwezi kuita typing error!!
Kama vipi rudi hukohuko ulikotoka!
 
'uzoefu' unaonyesha wewe ni mwenyeji uliye kubuhu, sasa inakuaje una gonga tena hodi?
 
Habarini wapendwa,
Mm ni mwana JF mpya tangia niwe officially registered almost can take two weeks, nilikuwa kimya bila kutoa hoja au maoni yangu kwa wana JF wenzangu kwasabu nilikuwa nasoma mazingira, natumaini kupitia ninyi i'm going to learn xomething,
Naomba munipokee kwa mikono miwili..
NAOMBA KUWASILISHA.

Hujaiva vizuri, pamoja na kusoma mazingira!!
Ref; Red colored text!
 
Unatumia keyboard gani we nunda!
X instead of S? Huwezi kuita typing error!!
Kama vipi rudi hukohuko ulikotoka!
Napendeleaga kutumia old keyborad, ila kwa hilo tu ndo ushindwe kunipokea kweli.
 
Back
Top Bottom