.......... Hakika mkivurugikiwa ntafurahi, naelewa tuko wengi huko na tushajichanganya vya kutosha, na vurugu lenu nasi linatuhusu, ila kwa mnavyotufanyia na msivopenda hata kutuona machoni penu; mnatuombea mabaya na kututafutia sababu tuu mtuangamize. Naomba mvurugikiwe.
Natamani mngelichapana wenyewe kwa wenyewe kama walivyochapana majirani zenu. Sio siri ningefurahi mno, maana mna chuki dhahiri shahiri kuanzia wazee wenu mpaka nyinyi vijukuu. Ila hasada haijengi na wala haidumu.
Mnavyotuona tutabaki hivyo hadi Mungu atakapotupa tulitakalo.
Povu rukhsa