Naomba mvurugikiwe

Naomba mvurugikiwe

AVRAM

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
616
Reaction score
885
.......... Hakika mkivurugikiwa ntafurahi, naelewa tuko wengi huko na tushajichanganya vya kutosha, na vurugu lenu nasi linatuhusu, ila kwa mnavyotufanyia na msivopenda hata kutuona machoni penu; mnatuombea mabaya na kututafutia sababu tuu mtuangamize. Naomba mvurugikiwe.

Natamani mngelichapana wenyewe kwa wenyewe kama walivyochapana majirani zenu. Sio siri ningefurahi mno, maana mna chuki dhahiri shahiri kuanzia wazee wenu mpaka nyinyi vijukuu. Ila hasada haijengi na wala haidumu.

Mnavyotuona tutabaki hivyo hadi Mungu atakapotupa tulitakalo.

Povu rukhsa
 
Nashkuru, naona baba zenu na bibi zenu wameanza kutazama visugudi vyao.

NAOMBAHARIBIKIWE .......
 
Hizi Mada za kishambenga za code zinaonyesha jinsi gani ulivyo dhaifu kama kuna mwana kayumba si unamchana hapa Man acha usoro
 
Wameanza kuvurugikiwa, nasubiri muda ufike tuuuuu, nicheke kwa sana
 
😂😂😂😂daaah!hata me naomba sana wavurugikiwe.🤣🤣🤣🤣🙌🏾🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
Tayari Dodoma wameanza, nimeona wanakabana hatari, mmija kanyanyua pande la tofali anataka kumtwanga mwenyekiti wake.
 
Back
Top Bottom