Bolingo Ya Telephone
Senior Member
- Jun 29, 2020
- 114
- 116
Ajiandae route ni ndefu Kwanza mengine watakuja
Ruti ya Arusha Mbeya ni ruti ya kazi... inahitaji gari inayotembea na ya uhakika wa safari.
Nimeipanda ruti ya Arusha Njombe kupitia babati wako freshi kwenye muda na usalama pia.
Nadhan hata Arusha mbeya watakua poa.
Saa tano usikuAhsante Mkuu. Vipi kama hakuna tatizo hua wanafika Mbeya saa ngapi?
Saa tano usiku
Hii sina kumbukumbu kama Kimotco wanaenda MbeyaWakuu shwari?
Naomba mwenye taarifa zaidi kuhusu haya mabasi ya Kimotco Express. Kuna ndugu yangu amekata tiketi kwenye basi hilo kutoka Arusha kwenda Mbeya, nauli TSH 55,000. Kwa wale ambao wamewahi kusafiri na mabasi ya Kimotco Express hasa ruti ya Arusha to Mbeya, vipi kuhusu huduma zao kwa ujumla?
Naomba maoni yako!
Hii sina kumbukumbu kama Kimotco wanaenda Mbeya
Labda kama wameanza sikuizii....
Hata mm nimepanda za Arusha Njombe....kuhusu Arusha mbeya sina uhakika kama ipo,Hii sina kumbukumbu kama Kimotco wanaenda Mbeya
Labda kama wameanza sikuizii....
ww umesema kweli kabisaAnaenda kufaulishwa makambako kwenye mabasi yaendayo mbeya huyo
Anaenda kufaulishwa makambako kwenye mabasi yaendayo mbeya huyo
Shabiby nae anaenda mbeyaHii sina kumbukumbu kama Kimotco wanaenda Mbeya
Labda kama wameanza sikuizii...
Saa tatu usiku hadi nneAhsante Mkuu. Vipi kama hakuna tatizo hua wanafika Mbeya saa ngapi?
Ila kwa kuunga. Arusha Dodoma- Dodoma Mbeya.Shabiby nae anaenda mbeya