Naomba mwenye kitabu cha Principles of Physics for class XI, S Chand

Nami naomba mnisaidie chand class xi nina uhitaji sana nacho
Huwezi kupata mtandaoni complete soft copy ya Principles of Physics published by S. Chand.

Tafuta New Simplified Physics ni kizuri sana kuliko hata hiyo Chand. Electronics ongezea na kitabu cha Advanced Physics by Tom Duncan
Mechanics tafuta kitabu cha Understanding Mechanics by DC Pandey
 
Mimi ninacho nili scan katika vi parts so ninayo complete
 
Wakuu Kuna mtu yeyote aliefanikiwa kupata hizo chand zikiwa complete
 
Mukiitaji full chand one na chand two zote zipo nicheki WhatsApp namba 0652372705 ila utalipia sio bure
 
samahani, naomba msaada kwa yeyote mwenye kitabu cha physics chand xi na xii, naomba anisaidie
0757062101
 
Back
Top Bottom