Binafsi nawajua walimu wa Primary yaan wako Shallow kchz ,,huyu ni kweli hajui kuisoma Salary Slip yake ngoja nimwelekeze.
Figure ya juu kulia kwako ktk Salary Slip ndiyo basic salary zinazofuatia pale chini ni figure zngne kama bima ya afya ,CWT na Kodi na figure ya mwisho kabisa ndio AMOUNT DUE yaan Net Pay au Take home nadhani ni Tsh 275000 kama umeanza kazi mwaka juzi ,jana au mwaka huu
Mie najua mishahara ya wafanyakazi wote wanaolipwa na Halmashauri yaan D.E.D kwan nafanya kazi ktk kampuni ya kubwa ya utoaji mikopo kwa wafanyakaźi ,
sishangai kukutana na Uzi huu ,ni kawaida sana