Naomba mwenye kufahamu kiwango cha mshahara kwa walimu cheti anijuze tafadhari

Naomba mwenye kufahamu kiwango cha mshahara kwa walimu cheti anijuze tafadhari

wadau mm ni mwalim ngaz ya sec. huyu jamaa ni zuzu kabisa, tena ni ----- nazi! walimu tunajali na kujua kwa kina mambo yetu ya msingi kama maslahi. nashangaa huyu jamaa katokea wapi. ok, inawezekana mpenz wake kamuona hazimtosh ndo maana kaamua kumficha ili abaki na bakuli lake ubongon. kajipange ----- ww

hahahahaha!!!!!
 
Ukisikia kichwa cha bundi ndio wewe. Be a great thinker my dear.....hujui basic salary yako!! Jipange.

Huyu ni mburula tu.Isitoshe huwezi kwenda kopa ABC na riba kubwa zote zile ukaacha NMB ambako na mshahara wako unapita.Vp hukusaini mkataba wa kazi hadi hujui mshahara wako?
Mada za hivi peleka facebook
 
Binafsi nawajua walimu wa Primary yaan wako Shallow kchz ,,huyu ni kweli hajui kuisoma Salary Slip yake ngoja nimwelekeze.

Figure ya juu kulia kwako ktk Salary Slip ndiyo basic salary zinazofuatia pale chini ni figure zngne kama bima ya afya ,CWT na Kodi na figure ya mwisho kabisa ndio AMOUNT DUE yaan Net Pay au Take home nadhani ni Tsh 275000 kama umeanza kazi mwaka juzi ,jana au mwaka huu

Mie najua mishahara ya wafanyakazi wote wanaolipwa na Halmashauri yaan D.E.D kwan nafanya kazi ktk kampuni ya kubwa ya utoaji mikopo kwa wafanyakaźi ,

sishangai kukutana na Uzi huu ,ni kawaida sana
Umemaliza kila kitu mkuu:-\
 
Back
Top Bottom