Naomba mwenye kufahamu/kujua ni vigezo vipi vinamshusha kagera sugar???

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
2,902
Reaction score
1,875
Habari wana jf,
Baada ya kupita kwenye mitandao mbalimbali na pia kusikiliza kauli za kutoka TFF nashindwa kuamini kama Kweli ni tatizo kwa kiasi hiki
Niende moja kwa moja kwenye Mada husika
Kwa Sheria zao ambazo bado wanazisema kuwa ikitokea timu zikalingana kwa point basi tie itaamuliwa kwa goal difference
Nikienda mwenye msimamo nakuta
Stand amefunga 38 na kufungwa 50 hapo nikitafuta goal difference napata -12
Nikienda kwa kagera sugar amefunga 33 na kufungwa 43 nikitafuta goal difference napata -10.
Sasa msimamo kwa mujibu wa Azam TV jana waliweka stand wa 19 na kagera wa 18!Hapa walienda sawa na hesabu Zangu
Nikienda kwenye flashscore pia nakuta stand wa 19 na kagera wa 18 nao pia tunaenda sawa
Sasa msimamo wa TFF ni kagera wa 19 na stand wa 18!!!!
Ushauri wangu kwa TFF kama lengo ni kagera ashuke daraja basi waende kwenye head to head na wakifanya hvyo tutawaelewa Sana ila wakibaki kwenye goal difference Hakuna atakayewaewa.!!
Naomba kuwasilisha
 
Kagera wameshushwa kwa head to head!

Kwa mujibu wa TFF!
 
Kagera wameshushwa kwa head to head!

Kwa mujibu wa TFF!
Head to head inakuja kama wame tally kwenye goal difference. Tatizo kanuni huwa siri na hutolewa kunufaisha au kukomoa timu fulani.
Mnakumbuka ile issue ya timu kuchagua lini mchezaji angetumikia kadi ya njano? Ilikuwa mafichoni ili itumike kunufaisha timu fulani.
 
Kagera wameshushwa kwa head to head!

Kwa mujibu wa TFF!
Wengi hii H2H hawaijui.
Hapo hayaangaliwi magoli. Wanaanza pointi, mkilingana, mnakuja michezo yenu miwili. Mmoja walitoka sare, mwingine Kagera walifungwa!
 
Wengi hii H2H hawaijui.
Hapo hayaangaliwi magoli. Wanaanza pointi, mkilingana, mnakuja michezo yenu miwili. Mmoja walitoka sare, mwingine Kagera walifungwa!
Kipi kinakuja kwanza? H2H au goal difference?
 
Wengi hii H2H hawaijui.
Hapo hayaangaliwi magoli. Wanaanza pointi, mkilingana, mnakuja michezo yenu miwili. Mmoja walitoka sare, mwingine Kagera walifungwa!
Hata hivyo ilibidi waanze na tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa,then waje head to head!

Sijui hizi kanuni zilifungiwa wapi!
 
Hata hivyo ilibidi waanze na tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa,then waje head to head!

Sijui hizi kanuni zilifungiwa wapi!

Hebu jiulize, kwa nini ilikuwa Lesotho wangeshinda hata goli moja tu, sisi Tanzania tusingefuzu AFCON?
 
Wengi hii H2H hawaijui.
Hapo hayaangaliwi magoli. Wanaanza pointi, mkilingana, mnakuja michezo yenu miwili. Mmoja walitoka sare, mwingine Kagera walifungwa!
Kwa kanuni za bodi ya ligi wanasema inaanza goal difference then inafwata h2h.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…