Habari wana jf,
Baada ya kupita kwenye mitandao mbalimbali na pia kusikiliza kauli za kutoka TFF nashindwa kuamini kama Kweli ni tatizo kwa kiasi hiki
Niende moja kwa moja kwenye Mada husika
Kwa Sheria zao ambazo bado wanazisema kuwa ikitokea timu zikalingana kwa point basi tie itaamuliwa kwa goal difference
Nikienda mwenye msimamo nakuta
Stand amefunga 38 na kufungwa 50 hapo nikitafuta goal difference napata -12
Nikienda kwa kagera sugar amefunga 33 na kufungwa 43 nikitafuta goal difference napata -10.
Sasa msimamo kwa mujibu wa Azam TV jana waliweka stand wa 19 na kagera wa 18!Hapa walienda sawa na hesabu Zangu
Nikienda kwenye flashscore pia nakuta stand wa 19 na kagera wa 18 nao pia tunaenda sawa
Sasa msimamo wa TFF ni kagera wa 19 na stand wa 18!!!!
Ushauri wangu kwa TFF kama lengo ni kagera ashuke daraja basi waende kwenye head to head na wakifanya hvyo tutawaelewa Sana ila wakibaki kwenye goal difference Hakuna atakayewaewa.!!
Naomba kuwasilisha