BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,248
Kikawaida bei yake inakuwa kiasi gani kwa ambayo mileage haijazidi 100,000??Subaru Impreza, kuhusu ubora wa gari Subaru inajieleza. Engine cc ni kati ya 1.5L na 2.5L, chagua yenye cc unazohisi zinakufaa. Kama unaipenda kagua mzigo then jilipue. Hapa mjini kuna kila aina ya spea ya gari, usihofie as if unanunua gari kesho linakufa. Ukikosa madukani agiza mtandaoni zinakuja tena bei chee.
Sent using Jamii Forums mobile app