Naomba mwenye kuijua hii gari.

Naomba mwenye kuijua hii gari.

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1,845
Reaction score
2,248
Wakuu kwema?
Naomba kuijua hii subaru hasa ubora na spea zake.Nimeielewa sana
tapatalk_1551978138621.jpeg
tapatalk_1551978134867.jpeg
tapatalk_1551978124297.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subaru Impreza, kuhusu ubora wa gari Subaru inajieleza. Engine cc ni kati ya 1.5L na 2.5L, chagua yenye cc unazohisi zinakufaa. Kama unaipenda kagua mzigo then jilipue. Hapa mjini kuna kila aina ya spea ya gari, usihofie as if unanunua gari kesho linakufa. Ukikosa madukani agiza mtandaoni zinakuja tena bei chee.

Kikawaida bei yake inakuwa kiasi gani kwa ambayo mileage haijazidi 100,000??
 
Back
Top Bottom