Wakuu,
Mwenye mawasiliano yake aweke hapa!
Sipundui pale,akiniomba chochote hata nusu ya "ufalme" wangu nitampa!
Mbaya zaidi kuna dogo jirani yangu anafanana nae mpaka basi,nimembatiza jina la Diana!
Ebu nisaidieni...