Naomba Mwenye Picha ya Mbowe na Viongozi wa CHADEMA Wakishiriki Msibani kwa Mama Mzazi wa Halima Mdee

Acha ujinga wako na utoto wako wakijinga jinga kama Levi la gongo. Nimesema weka picha ya Mbowe halafu wewe unaleta utoto wako hapa.
Utoto vipi kwani hajaolewa? Basi weka nyumba nthobe yake tuione
 
Bado wanatafuna hela za kumnunulia gari Lisu na za wadau wao wengine kwanza washibe
Zinazotafunwa na viongozi wako wa CCM unazijua? Wenzio wanapoimba mikono yao wanarudisha kwenye vitambi wewe unasambaza mikono maana hauna kitambi. Za mgogoro wa zao la miwa, Dpw, rongorongo nk...... .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…