Naomba Mwenye Picha ya Mbowe na Viongozi wa CHADEMA Wakishiriki Msibani kwa Mama Mzazi wa Halima Mdee

Acha tabia za kishambenga ww utakuja kukatiwa shanga. Msibani sio sehemu za kwenda kutafutia kiki za kisiasa. Kama watu wataenda sio kusaka picha ili waonekane wameenda, bali ni kwa ajili ya kuzika tu. Ccm ndio mnaendekeza hizo siasa za kipuuzi, hivyo mnaona msibani ni sehemu za kwenda kupigia picha ili mjifanye ni watu wema.
Hivi si ni nyie Ma CHADEMA mnaliliaga nafasi ya kuongea Msibani? Si. Innyie kwa Hayati lowassa mlikuwa mnalilia kutaka nafasi ya kuongea?😃😃
 
Huyo mbona kitambo tu yuko CCM si umeona viongozi wengi waandamizi wa CCM na Serikali waamekwenda kuhani hapo.
Mwana CCM yeyote yule anakuwa na moyo wa upendo na huruma.ndio maana chama kinapendwa nakuungwa mkono na kila mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua vyema.tofauti na huko kwingine ambako Watu wamejaa na roho mabaya utafikiri mashetani.
 
Hivi si ni nyie Ma CHADEMA mnaliliaga nafasi ya kuongea Msibani? Si. Innyie kwa Hayati lowassa mlikuwa mnalilia kutaka nafasi ya kuongea?😃😃
Nyie mimi nani? Narudia tena acha ushambenga dogo utakuja kupakatwa, msibani sio sehemu ya kusaka kiki, bali ni kuzika.
 
Mwana CCM yeyote yule anakuwa na moyo wa upendo na huruma.ndio maana chama kinapendwa nakuungwa mkono na kila mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua vyema.tofauti na huko kwingine ambako Watu wamejaa na roho mabaya utafikiri mashetani.
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na wachawi
 
Niliwaambia huyu Lucas ni kiazi kilichokosa moto wa kutosha kuiva, yeye anadaka taarifa ikishatoka na hafanyi utafiti.

Sasa badala ya hata kupiga simu kanisani kwenye ibada ya mazishi kuuliza je, Mbowe na na viongozi wa chadema wapo huko au hawapo?, yeye anakurupuka kama hivi.

Haya badala ya picha ambayo angeweza kusema ni editing kaonyeshwa na picha mjongeo kabisa (sinema), ahe afute au aombe samahani.
 
Hahimizwi kumalizia dozi.Luca is the best lunatic ever happened unto earth!
 
Nyie mimi nani? Narudia tena acha ushambenga dogo utakuja kupakatwa, msibani sio sehemu ya kusaka kiki, bali ni kuzika.
Mkuu, si uweke picha tu yaishe!? Kitu kidogo namna hiyo watu mnabishana siku nzima kweli?
Mbunge wenu kafiwa na mama yake mzazi, chama kinapokea ruzuku ya ubunge wake, kwenda kwenye msiba ni jambo la utu. Weka pics yaishe.
 
downloadfile-3.png
 
Mbunge wa chama gani wewe?Hebu acha hizo.Mpaka sasa haujaona Mbowe yupo msibani?
 
Niliwaambia huyu Lucas ni kiazi kilichokosa moto wa kutosha kuiva, yeye anadaka taarifa ikishatoka na hafanyi utafiti.

Sasa badala ya hata kupiga simu kanisani kwenye ibada ya mazishi kuuliza je, Mbowe na na viongozi wa chadema wapo huko au hawapo?, yeye anakurupuka kama hivi.

Haya badala ya picha ambayo angeweza kusema ni editing kaonyeshwa na picha mjongeo kabisa (sinema), ahe afute au aombe samahani.
Soma tena andiko langu na siyo kukurupuka kama kuku aliyetoka kutaga 😃😃😃 .
 
Lissu alivyo na roho mbaya, hataenda msibani.

Wakati amelazwa Nairobi alikuwa analalamika watu hawaendi kumuona, yeye hata msibani haendagi
Mlisema Mbowe mmetumiwa picha ya mbowe yuko msibani mmehama sasa mnasema Lissu
 
Niliwaambia huyu Lucas ni kiazi kilichokosa moto wa kutosha kuiva, yeye anadaka taarifa ikishatoka na hafanyi utafiti.

Sasa badala ya hata kupiga simu kanisani kwenye ibada ya mazishi kuuliza je, Mbowe na na viongozi wa chadema wapo huko au hawapo?, yeye anakurupuka kama hivi.

Haya badala ya picha ambayo angeweza kusema ni editing kaonyeshwa na picha mjongeo kabisa (sinema), ahe afute au aombe samahani.
Hana akili
 
Mkuu, si uweke picha tu yaishe!? Kitu kidogo namna hiyo watu mnabishana siku nzima kweli?
Mbunge wenu kafiwa na mama yake mzazi, chama kinapokea ruzuku ya ubunge wake, kwenda kwenye msiba ni jambo la utu. Weka pics yaishe.
Nenda post namba moja achia nyinginezo, ukaone kinachomliza huyo shambenga. Hakuna ruzuku yoyote cdm inapata kupitia hao wabunge. Ruzuku ya cdm inatokana na kura za za urais walizopata kutoka kwenye ule uchaguzi wa kihayawani.
 
Back
Top Bottom