Naomba Mwenye Picha ya Mbowe na Viongozi wa CHADEMA Wakishiriki Msibani kwa Mama Mzazi wa Halima Mdee

Ndugu zangu Watanzania,

Sote tunafahamu kuwa Mbunge wa viti maalum wa CHADEMA Mheshimiwa Halima James Mdee amefiwa na Mama yake Mzazi siku chache zilizopita. ambapo mimi binafsi nampa pole sana Mheshimiwa Mdee kwa msiba huo mzito wa kupoteza Mama yake Mzazi.Namuomba Mwenyezi Mungu amtie nguvu na moyo wa Subira wakati huu wa majonzi na huzuni.

Najuwa ni Msiba mzito sana tena sana kwa Mheshimiwa Dada Yangu Mh Halima Mdee. Ndio Maana tumeshuhudia viongozi wetu mbalimbali wa serikali yetu ya CCM pamoja na chama chetu pendwa cha CCM kwa unyenyekevu na upendo mkubwa wakifika msibani na kutoa pole kwa wafiwa.

Lakini sijabahatika kuona picha wala video za Mheshimiwa Mbowe akiwa msibani pamoja na viongozi wenzake wa CHADEMA .Nilikuwa nauliza hawajaenda msibani au wapo ila mimi ndio nimepitwa na habari hiyo?

Kama hawajaenda Msibani hususani Mheshimiwa Mbowe na viongozi wengine watakuwa wamefanya jambo baya sana tena sana lisilo la kibinadamu wala kiungwana .litakuwa ni jambo la kitoto sana tena sana kutohudhuria.litakuwa ni jambo litakalo onyesha namna wasivyo na utu,upendo,ukomavu wa kiakili pamoja na kujaa utoto.

Ikumbukwe au nawakumbusha ya kuwa alipofariki Mama Mzazi wa Mheshimiwa Zitto Kabwe , viongozi wengi sana wa CHADEMA hawakuhudhuria msiba ule kwa sababu wanazozijua wao wenyewe.

Naomba nisiongee mengi. Naomba tu kupatiwa picha au hata video.View attachment 3062148

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mkuu umesahau kuandika no za sim
 
Naomba picha yako wewe kwanza ukiwa msibani.
 
Hiyo picha itakusaidia nini?
 
Basi kama Mbowe na viongozi wa CDM wasipohudhuria huu msiba, basi tujue tu CDM kuna matatizo makubwa sana. Ubinadamu ni zaidi ya siasa.
 
Back
Top Bottom