Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Mbowe anahusika vipi hapo kwenye msiba au chadema for that matter?
Kwani Msigwa na Jobo wakienda hawatoshi?
Kwani Msigwa na Jobo wakienda hawatoshi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo vizuri kutumia msiba wa watu kufanyia siasa ndugu. Huko unapotaka tuelekee sipo .Ndugu zangu Watanzania,
Sote tunafahamu kuwa Mbunge wa viti maalum wa CHADEMA Mheshimiwa Halima James Mdee amefiwa na Mama yake Mzazi siku chache zilizopita. ambapo mimi binafsi nampa pole sana Mheshimiwa Mdee kwa msiba huo mzito wa kupoteza Mama yake Mzazi.Namuomba Mwenyezi Mungu amtie nguvu na moyo wa Subira wakati huu wa majonzi na huzuni.
Najuwa ni Msiba mzito sana tena sana kwa Mheshimiwa Dada Yangu Mh Halima Mdee. Ndio Maana tumeshuhudia viongozi wetu mbalimbali wa serikali yetu ya CCM pamoja na chama chetu pendwa cha CCM kwa unyenyekevu na upendo mkubwa wakifika msibani na kutoa pole kwa wafiwa.
Lakini sijabahatika kuona picha wala video za Mheshimiwa Mbowe akiwa msibani pamoja na viongozi wenzake wa CHADEMA .Nilikuwa nauliza hawajaenda msibani au wapo ila mimi ndio nimepitwa na habari hiyo?
Kama hawajaenda Msibani hususani Mheshimiwa Mbowe na viongozi wengine watakuwa wamefanya jambo baya sana tena sana lisilo la kibinadamu wala kiungwana .litakuwa ni jambo la kitoto sana tena sana kutohudhuria.litakuwa ni jambo litakalo onyesha namna wasivyo na utu,upendo,ukomavu wa kiakili pamoja na kujaa utoto.
Ikumbukwe au nawakumbusha ya kuwa alipofariki Mama Mzazi wa Mheshimiwa Zitto Kabwe , viongozi wengi sana wa CHADEMA hawakuhudhuria msiba ule kwa sababu wanazozijua wao wenyewe.
Kuna kauli inasema kama wamefanya hivi kwa Mti Mbichi vipi kwa Mti Mkavu?
Naomba nisiongee mengi. Naomba tu kupatiwa picha au hata video.View attachment 3062148
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyu chawa ana mambo ya kilugaluga sanaSiyo vizuri kutumia msiba wa watu kufanyia siasa ndugu. Huko unapotaka tuelekee sipo .
Huko vitu Og,halal bila shaka yeyote.Jangwani
Alaa kumbe famila siyo?Huko vitu Og,halal bila shaka yeyote.
Mbona Mbowe alikuwa na akina Mheshimiwa Mdee kanisani kkkt alipokuwa anataka wamchangie mchango kanisani? Au umeshasahau mara hii?Ila Lucas sijui sometimes akili yako unaiweka wapi sijui.
Sasa unajua kabisa kina Halima na huyo Mbowe hawaelewani tena pakubwa tu unataka waende msibani kufanya nini
Mwanaume unaulizia waume wa wanawake wenzako unataka wakufanye nini?funguka tu mkuuKabla hatujaenda mbali weka picha ya mume wa Halima Mdee akiwa msibani
Nani huyooo?
CCM B ndio niniwAkina Halima ni ccm B
CCm waliokaribishiwa geraji.CCM B ndio nini
Bulaya hujamuonaKabla hatujaenda mbali weka picha ya mume wa Halima Mdee akiwa msibani
Kauli zenu ndio zinaendelea kuisambaratisha CHADEMA kila siku.CCm waliokaribishiwa geraji.