jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Mi nimesoma sheria za asili zilozowekwa na Mungu!!Transport Officer hujasoma Business law?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nimesoma sheria za asili zilozowekwa na Mungu!!Transport Officer hujasoma Business law?
kaa sawa sasa upanuliwe ili vingine viingieMi nimesoma sheria za asili zilozowekwa na Mungu!!
Umefilisika hoja huna!!kaa sawa sasa upanuliwe ili vingine viingie
Sheria inasema, watoto hawahusiki, mali ni za mume na mke.Wakili nilimpa laki 1 kwa mwenyekiti nilimpa 50000 na muuzaji alitoa 50000 so mwenyekiti tulimpa laki,ingawaje wanatakaga asilimia kumi, kiwanja nilinunua milion 3 ila kiwanja cha pili sikutumia wakili,maana huu mkataba wa mwenyekiti unajitosheleza maana familia ya muuzaji mke na watoto walikuwa mashahidi,ila kama una mashaka tumia wakili,maana unakuta mzee anataka kuuza kiwanja wakati watoto hawana taarifa na wako mbali