Wakili nilimpa laki 1 kwa mwenyekiti nilimpa 50000 na muuzaji alitoa 50000 so mwenyekiti tulimpa laki,ingawaje wanatakaga asilimia kumi, kiwanja nilinunua milion 3 ila kiwanja cha pili sikutumia wakili,maana huu mkataba wa mwenyekiti unajitosheleza maana familia ya muuzaji mke na watoto walikuwa mashahidi,ila kama una mashaka tumia wakili,maana unakuta mzee anataka kuuza kiwanja wakati watoto hawana taarifa na wako mbali