Huduma za Uhasibu na Ushauri wa Kodi (Kudeal na TRA) - Arusha
Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi?
Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha.
Huduma Zetu ni Pamoja na:
Kufuatilia mambo yako ya TRA: Barua za TRA na jinsi ya kufanya hesabu zako na kuzihifadhi ili kujweza kujibu barua na mambo ya TRA yatakayotokea mbele
Uhasibu: Uwekaji wa vitabu, ripoti za kifedha, upangaji wa bajeti, na ukaguzi wa ndani
Ushauri wa Kodi: Upangaji wa kodi, ulipaji wa VAT na kodi ya kampuni, utatuzi wa migogoro ya kodi
Ushauri wa Biashara: Upangaji wa kifedha, usimamizi wa hatari, upyaishaji wa biashara
Kwa miaka ya uzoefu na uelewa mzuri wa kanuni za Tanzania, tunasaidia biashara kuboresha michakato ya kifedha, kuhakikisha ufuataji wa sheria za kodi, na kukuza faida.