Naomba mwenyeji MMU

Wana jamvi nimekuwa msomaji sana wa hapa MMU for 3 yrs! now nimeamua kuingia mzima mzima nami nichangie lol jamani. Naomba mwenyeji hapa anitembeze na kunipa miiko ya hapa!:msela:

Ili tukufahamu vizuri tusaidie kujibu kijiswali hiki rahisi, haihitaji elimu ya hesabu.

Kama 23694 ikiwa 64239
na 821543 ikawa 842135
Basi 72915638 itakuwa ngapi?

una saa moja ya kufikiria
 
Wana jamvi nimekuwa msomaji sana wa hapa MMU for 3 yrs! now nimeamua kuingia mzima mzima nami nichangie lol jamani. Naomba mwenyeji hapa anitembeze na kunipa miiko ya hapa!:msela:

Karibu hot pare...ila mi mwenzio niliingia humu kimya kimya tu kwa kuchangia post za watu weeee na kulike...mimi sio mtaalam sana wa kutoa mada ila here i am..nipo mjengoni tunasonga mbele na naenjoy kuwa humu ndani maana huwa nacheka weee had naumia mbavu...KARIBU SANA. 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…