Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka Kaizer huyu lazima atakua "Ke" ndiyo maana anajiita "Hot" Pare!!Jinsia yako kwanza .
Wana jamvi nimekuwa msomaji sana wa hapa MMU for 3 yrs! now nimeamua kuingia mzima mzima nami nichangie lol jamani. Naomba mwenyeji hapa anitembeze na kunipa miiko ya hapa!:msela:
hahaaaaa....hata masista mnawakagua...?
Kaka Kaizer huyu lazima atakua "Ke" ndiyo maana anajiita "Hot" Pare!!
Naam tena ukaguzi mkali zaidi kukwepa mamluki!
kirefu cha MMU ni nini,tafadhali naombeni jibu
Huu unakuwa uonevu sasa....
Muhongo Muongo Usimuamini
Muhongo Muongo Usimuamini
Wana jamvi nimekuwa msomaji sana wa hapa MMU for 3 yrs! now nimeamua kuingia mzima mzima nami nichangie lol jamani. Naomba mwenyeji hapa anitembeze na kunipa miiko ya hapa!:msela:
Nashkuru maaana siku hizi kuna midume ina majina ya kike...dunia imebadilika ila ameshanambia ni Ke
Kwan wanaume hawako hot? that word is for both genders my.
Mkuu kipepeo mweusi ukipepesa post zilizopita ameshanijibu kuwa ni Ke so hakuna utata hapo