Naomba mwenyewe ufahamu kuhusu Malory aina ya Man

Update nashukuru kwa ushauri wenu nilifanikiwa kununua matatu , ila moja naona Lina tatizo la fuel pump, but nashuru japo nilipitia katika vita Kali sana siku niliyotaka kununua ndio siku Gari yangu penda nayo ikapata crush , but all in all project inaanza very soon Quattion kutoka Kenya nimeshapata kuanza modification
 
Hongera sana kiongozi, all the best too!!
 
Hongera sana mkuu, Fuel Pump ipeleke pale Tabata Mobikey wakacheki au Bosch kama ikifika hatua ya kuweka nyingine agizia Kenya Kwa Dealer wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…