evanstheprince
Member
- Feb 9, 2021
- 8
- 6
Mimi nlikuwa ni mwanachuo wa chuo Kikuu huria lakini nilipofika mwaka wa pili niliandika barua ya kusitisha masoma na kuondolewa kabisa kwenye system ya chuo hicho ili niweze kujiunga na vyuo vingine.
Lakini cha kushangaza hadi leo sijafanikiwa kuondolewa na hivyo nashindwa kujiunga na chuo chochote kile isipokuwa Open tu.
Naomba anayefahamu utaratibu mwengine tofauti na kuwaandikia barua wao wenyewe anijuze.
Asanteni