Naomba mwongozo kwa anayefahamu utaratibu wa deregistration kwa Open University of Tanzania

Naomba mwongozo kwa anayefahamu utaratibu wa deregistration kwa Open University of Tanzania

Joined
Feb 9, 2021
Posts
8
Reaction score
6
Mimi nlikuwa ni mwanachuo wa chuo Kikuu huria lakini nilipofika mwaka wa pili niliandika barua ya kusitisha masoma na kuondolewa kabisa kwenye system ya chuo hicho ili niweze kujiunga na vyuo vingine.

Lakini cha kushangaza hadi leo sijafanikiwa kuondolewa na hivyo nashindwa kujiunga na chuo chochote kile isipokuwa Open tu.

Naomba anayefahamu utaratibu mwengine tofauti na kuwaandikia barua wao wenyewe anijuze.

Asanteni
 
Kama ulikuwa unasoma shahada, inabidi uende kwenye hiyo ofisi, utapewa fomu za kujaza na utaandika barua.

Kisha utaenda TCU ukiwa na viambatanisho vyako kutoka chuoni.
 
Back
Top Bottom