Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,025
- 1,270
WanaJF habari,
Nina Suzuki Carry nataka kumpa Dereva ambaye atakuwa akiniletea malipo kila baada ya wiki moja.Mimi si mzoefu sana katika biashara hii hivyo nimejaribu kuwauliza watu mbalimbali ili niweze kupata picha jinsi mkataba husika utakavyo kuwa. Katika mchakako huu wa kupata mwongozo nilichoambulia cha maana ni malipo i.e yawe kati ya shilingi 120,000 na shilingi 130,000 kwa wiki ILA mambo mengi sijapata mwanga mfano:-
Waheshimiwa mlio na uzoefu nawaombeni mnitoe ujinga kidogo ili mkataba utaoandaliwa na mwanasheria uwe sahihi. Natanguliza shukrani.. Ahsante

- Nani atakayekuwa akiweka mafuta
- Minor & Major maintenance nani atahusika
- Zile regular Service (baada km 3000) nani atahusika
- Ikitokea gari kukamatwa na Trafic nani atalipa faini