Naomba mwongozo wa kibenki

Naomba mwongozo wa kibenki

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
11,763
Reaction score
11,873
Kuhusu kuweka pesa kwa fixed deposit hapa Tanzania. Naomba kujuzwa ni benki ipi nchini inatoa interest rate nzuri kwa mwezi. Pia nitaomba kufahamishwa taratibu na masharti muhimu ya kuzingatia.

Asanteni.
Mapendo, TANMO.
 
Nenda nbc pale jirani na posta ya zamani utapata maelezo mzuri.
 
Back
Top Bottom