Naomba mwongozo wa kufanya biashara ya dhahabu

Naomba mwongozo wa kufanya biashara ya dhahabu

Fahamu bei ya wastani ya dhahabu,
Nunua mzani mdogo

Ijue dhahabu

Tafuta taarifa za dhahabu za wapi zina pc nyingi ya ubora

Tafuta taarifa na ujue wapi wanauzia....

Tafuta connect ya wauzaji wadogo wadogo maana unaweza kuwa na hiyo hela ila usiipate dhahabu kutoka kwa hawa wadogo maana wengi wao wanawauzia wafadhiri wao

Leseni ni muhimu maana ukidakwa bila leseni unapewa uhujumu uchumi au polisi watakutoa hela
 
habarin ndg zangun,,,ni mda mrefu sana,,nimetaman kufanya biashara ya dhahabu,,ila muda nilikuwa nakosa,,kutokana na majukumu,,,sasa nina muda wa kufanya hiyo biashara,,naomba kuelimishwa,,1.mzigo unapatikana wap?2.soko lake
likoje,,nawasilisha,, kwa Maon yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtafute Marley Dollars kwenye Instagram atakupa ABCs.
 
Fahamu bei ya wastani ya dhahabu,
Nunua mzani mdogo

Ijue dhahabu

Tafuta taarifa za dhahabu za wapi zina pc nyingi ya ubora

Tafuta taarifa na ujue wapi wanauzia....

Tafuta connect ya wauzaji wadogo wadogo maana unaweza kuwa na hiyo hela ila usiipate dhahabu kutoka kwa hawa wadogo maana wengi wao wanawauzia wafadhiri wao

Leseni ni muhimu maana ukidakwa bila leseni unapewa uhujumu uchumi au polisi watakutoa hela
nashukuru kwa mwongozo murua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya biashara ambayo ni pasua kichwa ni biashara ya dhahabu
Mimi nimezaliwa ktk familia ya wachimbaji wa madini
Na kwa kiasi Fulani nimefanya biashara ya dhahabu ktk ya mwaka 2005-2007
Pia nimewahi kuchimba
So ushauri wngu kwanza Tembelea Maeneo yanakochimbwa madini husika
Kama uko Dar es salaam Tembelea pale bwawani morogoro
Kwa ndani kidogo kuna machimbo au fika pale Mahenge morogoro
Sehemu zingine ni Chunya pia wilaya kama Tunduru
Ujipange hasa maana ni biashara iliyojaa utapeli mwingi.

asante kwa ushaur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2018_08_22_13.27.26.png
 
Hivi utapeli kwenye hii biashara unatokana na kutojua madini yenyewe au kutojua bei yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
vyote na vngnevyo unavyohisi ni sababu ..kuna vtu vnafanania asilimia zote nadhahabu vnaitwa kakumba kukitofautsha labdaa uchome kwa gas na kupima asilimia ,ambapo kwa wanunuz wa chini n ngumu, kingne ni bei ya dhahbu kila sku inabadlka kushuka na kupanda kuna kpnd inashuka mpka bei ulyonunulia inamezwa kabsaaaaa na kuna kpnd inapanda saf kabsaa ...
20180110_220746.jpg
 
Back
Top Bottom