Naomba mwongozo wa vibali katika Biashara ya mbao

Naomba mwongozo wa vibali katika Biashara ya mbao

Bexb

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
715
Reaction score
1,619
Habari ya wakati huu wakuu.

Ninaomba maelekezo na mwongozo kwa vibali ambavyo mtu/kampuni inapaswa kuwa navyo ili iweze kufanikisha kusafirisha mbao/magogo kwenda nje ya nchi hasa Kenya na nchi za Asia.

Pia kama kuna mamlaka nyinginezo zozote ambazo nitapaswa kupita kabla ya chochote ili kuepusha usumbufu pia kama utakuwa ukifahamu ghadama za hivyo vibali nitashkuru pia.

Nipo Dar.

Natanguliza shukrani.
 
Nawasubiri wakuu
 
Hawakurudi mkuu umu wengi wauza vipodozi biashara kubwa izi hawawezi
 
Back
Top Bottom