Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora kuathirika kisaikolojia kuliko kuathirika na HIV/aidsIla una athirika kisaikolojia.
watu wameanza hiyo shughuli tangu kidato cha kwanza mpaka leo wana watoto wapo sekondari tena A level na punyeto zinaendelea kama kawa,hayo madhara wataja kuyapata lini?Kwel yajayo yanafurahisha yaan mijitu mizima inasifia punyeto kwel...yaan mnajiharibu wenyewe huku mkifurahia kujiharibu huko...mazee acheni haya mambo punyeto ina madhara msijidanganye ukishakuwa addicted hata ukikutana na demu utamuona mchungu punyeto ndo utaona tamu...ACHENI
aisdee....hahaha..bao 3 mfululizo kwa nyeto """!?Tupe uzoefu wako ktk hii tasnia.
- Madhara uliyopata.
- Faida ulizopata.
- Aina tofauti ulizopitia ktk kufanya hili jambo na kama ushawahi kutumia OMO au Protex (aka Baba mkwe na Mama mkwe) ni kipaumbele cha kukupa uongozi.
- Ushawahi kupiga bao zaidi ya 3 mfululizo bila kupumzika nacho ni kigezo kingine Mkuu