Kwel yajayo yanafurahisha yaan mijitu mizima inasifia punyeto kwel...yaan mnajiharibu wenyewe huku mkifurahia kujiharibu huko...mazee acheni haya mambo punyeto ina madhara msijidanganye ukishakuwa addicted hata ukikutana na demu utamuona mchungu punyeto ndo utaona tamu...ACHENI
watu wameanza hiyo shughuli tangu kidato cha kwanza mpaka leo wana watoto wapo sekondari tena A level na punyeto zinaendelea kama kawa,hayo madhara wataja kuyapata lini?
achenikupotosha,huwagasielewi kwanini kila kitu kizuri/kitamu lazima kiwekewe zengwe?
hii dunia kuna kitu hakipo sawa,
nguruwe nyama yake waislamu baadhi hawali,ila wanaokula wanajuta kuchelewa kuionja,
wanawake nao tunakatazwa kuwa ni sumu,
punyeto nayo mnasema ina madhara,
bangi nayo mnasema inaleta ukichaa,
pombe hali kadhalika,
kubet nako hapana,including na kamari nyinginezo,
what is so good for this world anyway?