Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Habari wapendwa hvi Kuna tetes Gani kuhusu kazi zinazohusisha HATA wenye vyeti vya ualimu maana nimejiandaa kwelkwel nifike oral tu kweny interview ya kazi yeyote harafu uko MBELE namuachia mganga wangu atajua awafanye nn watakao nisaili Ili nipate maksi nazozitaka mm sio wao.
Mganga kasema nikutane nao Face to face hao wasaili tuwapge mpumbazo mmoja mzito nilambe asali kilaini.
We endekeza ulokole uchawi upo subirin shuhuda
Mganga kasema nikutane nao Face to face hao wasaili tuwapge mpumbazo mmoja mzito nilambe asali kilaini.
We endekeza ulokole uchawi upo subirin shuhuda