Naomba nakala ya hukumu ya Jaji Mwanga iliyokataza Chadema kufanya siasa

Naomba nakala ya hukumu ya Jaji Mwanga iliyokataza Chadema kufanya siasa

Laiti wangesikia ushauri wa kundi la G55 wasingefika hapo walipo. Ika kiwango chao cha kutoshaurika kinaonyesha kuwa akina Tundu na Heche wanaweza kuwa MADIKTETA wabaya kuliko hata Magufuli

Kundi la G55 linaloongozwa na Mrema sio kundi reliable. Above 50% ni waxhaga, waarusha na waparre. They are money mongers. Pure and simple
 
Hivi katika mazingira ya kawaida... kama aliyefungua madai amekoma kuwa mwanachama wa chama alichokishitaki, je kesi ya msingi bado inaendelea? Au ndo imebebwa na jamhuri kama kesi ya jinai?
kesi inakosa uhalali wa kisheria kuendelea, kwa sababu hana tena maslahi ya moja kwa moja kwenye chama.
 
South America kumekuwa na mauaji mengi ya majaji.....naanza kuona sababu.........ingawa huko ni criminal gangs yanafanya uhalihu huo kulinda uhalifu wao...
Hakuna jaji, ni takataka kabisa
 
Back
Top Bottom