Doctor Mama Amon
Platinum Member
- Mar 30, 2018
- 2,311
- 3,513
- Thread starter
-
- #21
Laiti wangesikia ushauri wa kundi la G55 wasingefika hapo walipo. Ika kiwango chao cha kutoshaurika kinaonyesha kuwa akina Tundu na Heche wanaweza kuwa MADIKTETA wabaya kuliko hata Magufuli
Jipya la Heche na Tundu lipo wapi? Huoni walivyowapoteza watu kwa ubinafsi wao. Wamekitoa chama kwenye ramani ta uchaguziG55 ni CCM B mbona?
Hawana jipya ambalo ni transformative.
Acha ukabila, Nyerere alitengeneza Tanzania mojaKundi la G55 linaloongozwa na Mrema sio kundi reliable. Above 50% ni waxhaga, waarusha na waparre. They are money mongers. Pure and simple
kesi inakosa uhalali wa kisheria kuendelea, kwa sababu hana tena maslahi ya moja kwa moja kwenye chama.Hivi katika mazingira ya kawaida... kama aliyefungua madai amekoma kuwa mwanachama wa chama alichokishitaki, je kesi ya msingi bado inaendelea? Au ndo imebebwa na jamhuri kama kesi ya jinai?
Hakuna jaji, ni takataka kabisaSouth America kumekuwa na mauaji mengi ya majaji.....naanza kuona sababu.........ingawa huko ni criminal gangs yanafanya uhalihu huo kulinda uhalifu wao...