masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
msaada wadau nahitaji fundi mzuri tu wa nguo namba zake
kama alishakufanyiaga kazi nadhani itakua vyema
jamani wasambaa humu ndani changamkieni fursa hii
ukisema ulipo itakuwa rahisi kupata fundi
Kuweka namba ya mtu hazalani,?? wengine wake za watu.
nipo dar mkuu huko nanjilinj ni wap0784 289416 anapatikana hapo Nanjilinji.
ni fundi kweli huyu na hana longolongo
pm please
nikimpata nitakuambiaWakikupm na mimi naomba unitumie pls
PM tuongee nitakupa na naul ya kuja nilipo
msaada wadau nahitaji fundi mzuri tu wa nguo namba zake
kama alishakufanyiaga kazi nadhani itakua vyema
asanteni
Acha umalaya