Naomba namba za fundi wa nguo za kike

Naomba namba za fundi wa nguo za kike

Kuna Jamaa anaitwa Fundi Rahim yupo Vingunguti ni Balaa,
Ndio anamshone Wife wangu nguo Zake.Unaangali mshono then anakutolea kitu kama kawa au ukitaka anakushauri mshono utakaoukupendeza kulingana na uzoefu wa kazi zake.
Ila ukubali foleni tu ya wateja wake,

Sio kila Ofisi nzuri basi ina fundi cherehani wazuri
 
Kazi ya ushonaji nguo za kike napenda pale fundi anapopima kiuno tu basi!
 
Wacha nikuulizie.......kuna rafiki yangu huwa anashonea maeneo ya Mbezi Beach...........huyo fundi ni balaa........maana huwa anafyetua mbaya.........

Anaitwa nani? Kuna dada mbezi beach alitushoneaga nguo nzuri balaa (bridesmaids) na bei zake haziumizi sana. masai dada... kuna Zamda George anashona vizuri nakuulizia namba zake nikutumie.
 
Kuna Jamaa anaitwa Fundi Rahim yupo Vingunguti ni Balaa,
Ndio anamshone Wife wangu nguo Zake.Unaangali mshono then anakutolea kitu kama kawa au ukitaka anakushauri mshono utakaoukupendeza kulingana na uzoefu wa kazi zake.
Ila ukubali foleni tu ya wateja wake,

Sio kila Ofisi nzuri basi ina fundi cherehani wazuri

Ni kweli kuna mafundi wengine wanashonea vichochoroni ila wapo vizuri sana.
 
Back
Top Bottom