Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Wacha nikuulizie.......kuna rafiki yangu huwa anashonea maeneo ya Mbezi Beach...........huyo fundi ni balaa........maana huwa anafyetua mbaya.........
Kazi ya ushonaji nguo za kike napenda pale fundi anapopima kiuno tu basi!
Kuna Jamaa anaitwa Fundi Rahim yupo Vingunguti ni Balaa,
Ndio anamshone Wife wangu nguo Zake.Unaangali mshono then anakutolea kitu kama kawa au ukitaka anakushauri mshono utakaoukupendeza kulingana na uzoefu wa kazi zake.
Ila ukubali foleni tu ya wateja wake,
Sio kila Ofisi nzuri basi ina fundi cherehani wazuri