kazi inapokuwa ngumu ni pale mwanasheria ni mthungu,
hapa inabidi my son Erickb52 awe mkalimani wangu,
na mwisho wa kesi Arushaone lazima arudishe hela za gharama.
Njoo tusemezane basi bi migombani? We uwe wangu me tu nami niwe wako tu. Huyo rutta hana jipya.. Niambie unataka nikupeleke wapi weekend hii mpenzi?
embu nikumbushe mahali dolla ngapi vile?Naomba unisikize me mtoto wa mwanamke mwenzio. Nataka ndoa kwako mama wa kijijini/ wa mgombani. Naomba mashemeji mjitokeze ma aunt na wakwe, niko tayari. Ahsante kwa uelewa wako.
Sasa baraza lote mnanishaurije kuhusu mpenzi wangu mtarajiwa mamndenyi? Nimteme nini.
Fanya hivyo basi mamndenyi... Si unaona mpaka muda huu sijapata hata lepe la usingizi kukuwaza wewe? Please be reasonable darling. Fanya kabla rutta hajaamka.
Mimi ndio ninaoupokea.
Unaweza ukanipa huo mchango.
u have to prove that i am sick and which kind of sicness i am suffering. Which dr examined me & which hospital. Plse prove.
please prove that i have kichaa.
njikukundie mamndenyi te njiwesa unjikundie na iyo pfo? Lakana na msoro cho nyekekulemba tiki.