dah naomba unielekeze basi kama kuna mbinu yoyote ambayo ukiifanya kidogo kunauwezekano wa kushindaUlitegemea vipi usiliwe wakati unacheza mchezo usioujua?
Mchezo wowote wa kamari sio mzuri, hizo pesa wekeza kwenye mambo mengine, kuna fursa nzuri tu kama kilimo, ufugaji n.kdah naomba unielekeze basi kama kuna mbinu yoyote ambayo ukiifanya kidogo kunauwezekano wa kushinda
[emoji114]hiyo kamari achana nayo
Wewe ni mutu ya congo?huu mchezo una laha yake lakini mimi si win*bado sijauelewa sipatii wengine wanasema ni kulotea tu wengine kuna hesabu inatumika wengine kuna njia inatumika kuweza ku win sasa wewe toa maoni yako jinsi uujuavyo huu mchezo