Naomba nielekezwe namna ya kucheza huu mchezo

Naomba nielekezwe namna ya kucheza huu mchezo

tzmuya

Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
86
Reaction score
26
habarini za asubuhi jamani msaada anaeujua huu mchezo maana yamenikuta nimeliwa pesa nyingi sana maeneo ya nyumbani kuna sehemu upo uo mchezo naomba yoyote anaeuelewa ata kidogo basi ajalibu anielekeze japo kidoho
0c1301fd81f4ef9f88e834782e08c805.jpg
 
huu mchezo una laha yake lakini mimi si win*bado sijauelewa sipatii wengine wanasema ni kulotea tu wengine kuna hesabu inatumika wengine kuna njia inatumika kuweza ku win sasa wewe toa maoni yako jinsi uujuavyo huu mchezo
735e0cb9f284308b9e83be790e122a4d.jpg
 
Wewe ni mutu ya congo?
 
Back
Top Bottom